Jifunza. Jenga. Pata Mapato.
Founded by Ally Msangi · Digital Marketer & YouTuber
Core Verticals
AI Tools Curated
Swahili-First Platform
Countries Served
Kila Kitu
Unachohitaji
Tano verticals, mfumo mmoja — kutoka kujifunza hadi kupata mapato. Five verticals, one platform — from learning to earning.
Gundua Zana Bora za AI
Kwa Afrika
Directory ya AI tools 100+ zilizochaguliwa kwa ajili ya waafrika — na maelezo kwa Kiswahili, mifano ya matumizi, na mapendekezo ya vitendo.
Jenga Biashara Yako Mtandaoni
Freelancing, YouTube, affiliate marketing — maudhui ya vitendo bila kelele za kawaida.
Soma ZaidiMiongozo & Mafunzo ya Vitendo
Guides, frameworks, na checklists — kutoka kujifunza hadi utekelezaji.
Jifunze SasaNunua Zana za Biashara Yako
Ebooks, templates, AI prompts, na kozi — zana halisi za kukuza kipato.
Angalia DukaKazi, Grants & Nafasi za Kidijitali
Remote work, freelancing, na fursa za digital economy kwa Waafrika.
Tafuta Fursa
Ally Msangi
Mwanzilishi, KIDIGITALI 2.0
Founder, KIDIGITALI 2.0
Tanzania ina akili. Ina nguvu. Ina ubunifu. Inachohitaji ni zana na maarifa kwa lugha yake — Kiswahili.
Internet haijafanya kila mtu tajiri — imefanya wenye maarifa kuwa na nguvu zaidi. KIDIGITALI inakupa maarifa hayo.
Anza Leo — Usisubiri Kesho
Start today. Every day you wait is a day behind.
Dunia ya Kidijitali
Inakungojea —
Uko Tayari?
Jiunge na waanjilishi wa kwanza wa KIDIGITALI 2.0. Gundua zana, jifunze ujuzi, pata mapato — kwa lugha yako, kwa muktadha wako.